Natafuta soko la matango

Natafuta soko la matango

jankin54

New Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Msaada jamani mwenye uzoefu na biashara za matango. Nina heka 1 ya tango inaanza kuvunwa mwezi wa 5 mwishoni. Mwenye kuhitaji au mwenye kufahamu wanunuzi tuwasiliane 0652 228 888.
 
Habari, vipi ulipata soko la matango?
Nimeingia kwenye biasahara hii pia natafuta soko
 
Msaada jamani mwenye uzoefu na biashara za matango. Nina heka 1 ya tango inaanza kuvunwa mwezi wa 5 mwishoni. Mwenye kuhitaji au mwenye kufahamu wanunuzi tuwasiliane 0652 228 888.
,wala huna haja ya kutafuta peleka mzigo sokoni SAA 11 alfajiri uone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom