Natafuta soko la mafuta ya alizeti

Habari wajasiliamali wenzangu mimi nashida nauliza ni wapi nitapata soko la mafuta ya alizeti safii from Dodoma maana huku wanunuzi wachache..... Nauza kidumu cha litre tano 18000 elfu..... Ahsanteni!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bei yako ipo huu sana,nenda Kibaigwa na Pandambili uliza bei zao....utajua ninachokwambia 14,000 rejareja pale na jumla ni chini ya hapo.
.
.
Kama uko tayari chukua 10,000 kwa kila kidumu nahitaji 100

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom