Natafuta soko la kuku aina ya kuroilers

Natafuta soko la kuku aina ya kuroilers

sinyoritah

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
552
Reaction score
346
Habari za mchana ,Kwanza Naomba nisahihishwe spelling za kuroilers kama nimekosea
Pili wapi naweza pata soko la jumla kwa kuku aina ya kuroilers,wapo kuloires 65+ nimejaribu kuzunguka masokoni lakini bei zao bado haziridhishi .
delivery ipo ukihitaji kuku kwanzia watano utaletewa ulipo,bei 17,000
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Ok naomba niletee nipo Changunge.

Huu utoaji taarifa bila ya kusema maeneo mnayokaa unawapa shida sana sasa tuanze kubashiri kujua kama upo Dar au Kericho?.

Mkuu ungeweka na ka-picha ka hao kuku wako, nadhani hata ungeongeza na wastani wa uzito kwa kuku mmoja lakini pia availability yako. Nadhani ukifanya hivo tunakuwa tuna mahala pa kuanzia
 
Kroiler ndo wale ambao wanauwezo wakutaga hata miezi 4 mfululizo?? Na ni wakienyeji ndo hao.?
 
Ok naomba niletee nipo Changunge.

Huu utoaji taarifa bila ya kusema maeneo mnayokaa unawapa shida sana sasa tuanze kubashiri kujua kama upo Dar au Kericho?.
Dodoma kuna uhaba wa kuku njoo uuze, uinue uchumi.
 
Back
Top Bottom