Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,404
- 79,653
😀😀 Mambo ya ajabu sana haya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ujue sometimes akili zako unazijua mwenyewe
😀😀 Mambo ya ajabu sana haya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ujue sometimes akili zako unazijua mwenyewe
Ohooooo mie simoNasikia nyama ya nguruwe ina bei nzuri sana Zanzibar na Oman.
Naomba mwenye clues zaidi aweke hapa hasa maeneo masoko yalipo.
Unajaribu kuupamba UKAFIRI kwa kuukashifu Uislamu.Waislam tunaojitambua tunamuhusudu sana mfalme wa mezani, kama watu wanakula hawafi wala kupatwa na madhara kwanini nijinyime mie? Ndiyo maana sipendi hizi dini za hovyo, wanatudanganya sana.
Kafiri sio Jina we kafiri.Siitwi kafir, nina jina langu...niulize nikuambie. Kwangu mimi kafir ni mjinga asiyejitambua na anayeamini dini za watu bila kujuwa ukweli na undani wake.
Basi hujaelewa maana ya kafiri kafir ni neno la kiarabu ambalo linatokana na neno kufru katika uislm MTU asie amin huitwa kafiri kwa kiswahili mpingaji sijui kama umenielewa
Unajaribu kuupamba UKAFIRI kwa kuukashifu Uislamu.
That is very old technique. jaribu kuupamba Ukafiri wenu kwa maneno mazuri.
wenzako wamejaribu sana mbinu hii na wote wamefeli
Kafiri sio Jina we kafiri.
Kafiri ni sifa. kama vile ukiitwa kikojozi .
Nilifikir tunajadiliana kumbe naongea na taahiraKwangu mimi Kafir ni mwarab anayeamini mtum Mohammad wakati alikuwa muuwaji na mbakaji. Nakataa kuamini mtu wa namna hiyo na siwezi hata iweje, bora niamini sanamu lisilo baka wake za watu na kuoa katoto ka miaka 6.
Nilifikir tunajadiliana kumbe naongea na taahira