emmanuelsemwaiko
Member
- Nov 9, 2018
- 18
- 4
Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151
@The icebreaker nipo Tanga mkuu ila popote pale mzigo unakujaWanakuja mkuu,ila ungesema wewe uko wapi?
WANACHEMSHWA?Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151
unauzaje??Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151
Picha zake tuone.Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151
Yeah mkuu wazuri sana hao kiasi kidogo tu mnaweza kula familia nzima wanajaa wakipikwaWANACHEMSHWA?
weka picha , na bei tuoneJamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151
Sawa mkuu natuma soonweka picha , na bei tuone
Natuma soon mkuu