JF kwa maendeleo.
Jamaa leo nimekuja na kichwa hicho cha habari.
jamani ambae anaweza kunipa taarifa kuliko na soko la asali nitamshukuru.
akiainisha bei japo kwa lita 1 itakua poa sana.
Mikoa ya dar es salaam, morogoro, dodoma naipa kipaumbele.
karibuni sana kimchango.
Huku dodoma wanatuuzia elf 2, wanajaza kwenye chupa ya konyagi. Wanywaji wa konyagi watasema ile chupa ni litre ngapi.
Huko wapi? Nimesoma sawa? Au macho yangu?
Huko wapi? Nimesoma sawa? Au macho yangu?
Aaah Mkuu! Si amesema Dodoma! Yaani huoni?
Aaah Mkuu! Si amesema Dodoma! Yaani huoni?
Mkuu we ndo unanunua ama unawafahamu wanunuzi nami ipo natafuta sokoNAOMBA 2ELEWANE KWANI MI NIPO HP ARUSHA NA BILA SHAKA ASALI CYO K2 CHA KUHANGAIKIA BIASHARA KWANI NI K2 AMBACHO SOKO LIKO WAZI KBS NAOMBA UKO MAKINI NA TOPIC HII NAOMBA MAJIBU NIKUANGUSHIE GMAIL KWA MAWASILIANO ZAIDI. (Nakusubiria)
Usipendelee kuandika namba zako za simu hapa, nenda PM, hiyo PM maana yake ni 'Private Message'. Pia, kabla ya kupost thread yako jaribu kusoma na kuhariri ulichoandika kuna makosa mengi ya kiuandishi unafanya.Anaye jua sokola asali ama anae nunua bei ya jumula mawasiliano ni 0744190463 /0786957118