Natafuta soko la Asali hapa Dar es Salaam

Natafuta soko la Asali hapa Dar es Salaam

Ork

Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
40
Reaction score
8
Wandugu, mimi ni mjasiriamali, ninatafuta soko la asali kwa hapa Dar es salamaa au kama kuna sehemu nyingine mawazo yenu pia yanakaribishwa.

Nina asali lita 200 ambayo ni asali mbichi.

Kama unahitaji au una mtu anayehitaji naomba uni PM

Asanteni
 
Kuna asali
piga simu 0754302018
Sema Pure Natural Honey
Bei yake ni Tsh 5000 kwa 500g

Ukitaka Bulk
1000kg na kuendelea
Piga simu 0754521687
Sema Bhanakiya Honey
 
Back
Top Bottom