Sidhani kama JUTA wametengeneza software nyingine zaidi ya ile ya 2002 na hii ni kutokana na ukweli kuwa hakujawa na mkakati mwingine wa kurevise sheria zote toka zoezi hilo lilipofanyika mara ya mwisho mwaka 2002, naunga mkono ushauri wa mkuu hapo juu, ukitembelea website ya Bunge unaweza kupata sheria zote zilizotungwa baada ya mwaka 2002