Natafuta smartphones ya maana.

Natafuta smartphones ya maana.

Good,ila nipo serious so kama unayo we can talk lakin bei daaah. So ni tofauti na galaxy grand coz nilickia hazina utofauti na galaxy grand kwa bei
 
Ofcoz pesa ipo ila cm yenyewe kupatikana kwake ni shida maduka mengi hawana kaka.
 
Good,ila nipo serious so kama unayo we can talk lakin bei daaah. So ni tofauti na galaxy grand coz nilickia hazina utofauti na galaxy grand kwa bei

hebu nipm nikupe no za mtu atakayekuuzia galaxy grand duos mpya kwa bei nzuri sana
 
Kama upo dar nenda agrey pale ndo hong kong ndog ya bongo pale hukosi ila angalia wasije wakakuingiza cha kike
 
Back
Top Bottom