Natafuta ‘Single mama’

Natafuta ‘Single mama’

Jidanganye. Utakuja ulie mwenyewe. Hawa viumbe wasahulifu sana.
Hahahah
Kila kobe ana gamba lake. Kikubwa ni maisha.

Tanzania tunafanyaga mambo kienyeji sana. Wanawake wapo wanaoteseka kwa kususiwa watoto na huwa na HEWALA ya kutofanya lolote. Wapo ambao wanawatumia watoto kama mtaji wa kimaisha hivyo wanaharibu ile trust inayopaswa kujengwa kwa single mama.

Kikubwa ni kwamba asilimia kubwa ya singo mama ni slay queens ambao wameshanyooka kimaisha na kihaiba na hawataki kurudia makosa tena.

Shime mwenye vigezo ajitokeze mambo yaende
 
Usije kuoa mwanamke kwasababu unamuonea huruma na amepitia au anapitia changamoto.
Kuna watu waliwasomesha wapenzi wao ili waje wawaoe na wengine wakaenda mbali zaidi hadi kuwatafutia kazi ila mwisho wa siku waliishia kuachwa.
Huyu single mom unamuoa kwa kumuonea huruma unaweza kumuoa ametelekezwa na jamaa hana mawasiliano ila mwisho wa siku jamaa anaweza kuja kwa kigezo cha kulea mtoto pamoja na wewe ukapigwa chini.
Umenikumbusha kitabu cha riwaya Mfadhili kidato 6.
Wong kama Wong naona umepiga bonge la verse hapo.

Ukinisoma vyema hapo utagundua neno kienyeji nimeliweka hapo na si kwa bahati mbaya. Wabongo tumezoea mambo kuyachukulia kienyeji. Narudia kwa msisitizo NIPO MUANGALIFU sana kwenye hili.

Single mama ajitokeze mmoja basi tuyajenge maana wengi waliokuja ni charriot chasser. Au la najifunga pingu nitekwe na Evelyn Salt
 
1. Unajijua ni mrembo wa akili na mwili.
2. Umechoka upweke
3. Ni mpambanaji mtafutaji
4. Unahitaji kumbatio la nafsi
5. Upo tayari kupima
6. Dini siyo kikwazo
7. Siyo bongebonge au upo tayari kutherapy kupunguza unene

Basi tukutane inbox nina jema la kwako

Pumbafu tulikubalianeje kwenye kikao cha wanaume
 
Wapendwa
Zoezi nimelifunga rasmi leo.

Mambo ni moto
Mambo ni faya
 
Kuowa singo mama siyo kosa owa aliyemzalisha kama amekufa.

Ni kosa kubwa kuowa kwa sababu unawaonea huruma na ni kosa kubwa zaidi kutegemea kwamba ameshapata fundisho la maisha na kwamba hatokuletea mambo ya kijinga,hakuna duniani kiumbe msahaulifu kama mwanamke huyo utamlisha vizuri utamvesha vizuri akifata matunzo ya mtoto kwa aliyemzalisha akimsifia kidogo sket itashushwa kwa wepesi sana na akirudi atakudharau!
Nakazia [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
1. Unajijua ni mrembo wa akili na mwili.
2. Umechoka upweke
3. Ni mpambanaji mtafutaji
4. Unahitaji kumbatio la nafsi
5. Upo tayari kupima
6. Dini siyo kikwazo
7. Siyo bongebonge au upo tayari kutherapy kupunguza unene

Basi tukutane inbox nina jema la kwako
Kwa hali hii mabinti wataolewa na nani sasa?,Ama kweli Zama zimebadilika.
 
Mama samia we ndo mama yetu...[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
 
1. Unajijua ni mrembo wa akili na mwili.
2. Umechoka upweke
3. Ni mpambanaji mtafutaji
4. Unahitaji kumbatio la nafsi
5. Upo tayari kupima
6. Dini siyo kikwazo
7. Siyo bongebonge au upo tayari kutherapy kupunguza unene

Basi tukutane inbox nina jema la kwako
Hahaha
 
Back
Top Bottom