Natafuta ‘Single mama’

Natafuta ‘Single mama’

Una co-parenting zako 3, safiiiiii (unamkumbuka huyo member?)
Hahahah
Kila kobe ana gamba lake. Kikubwa ni maisha.

Tanzania tunafanyaga mambo kienyeji sana. Wanawake wapo wanaoteseka kwa kususiwa watoto na huwa na HEWALA ya kutofanya lolote. Wapo ambao wanawatumia watoto kama mtaji wa kimaisha hivyo wanaharibu ile trust inayopaswa kujengwa kwa single mama.

Kikubwa ni kwamba asilimia kubwa ya singo mama ni slay queens ambao wameshanyooka kimaisha na kihaiba na hawataki kurudia makosa tena.

Shime mwenye vigezo ajitokeze mambo yaende
 
Hili nalo ni tatizo aisee. Ila visababishi ni sie wanaume so ni kukubaliana na hali tu [emoji23]
Sheikh
Huu utamaduni walioujenga ameature girls kuwa akipata handsome boy watapata mtoto mwenye sura laini kama revola ndo kinawaponza sana.

Na wakishapigwa ujauzito na drama za kutosha huishia kuwa singo mamaz. Hawajui kwamba being a father is not the amount ya manii alizonazo mwanaume bali capability ya kuhandle situations and sacrifices zake kwa familia.
Kids are gifts wasiwe subject to mahusiano bali subject to familia
 
Best
Hilo swali wala sitauliza kwa sababu natarajia wengi wa single mamaz wamejifunza na kuwa wakweli wasije wakapoteza second chance
Usisahau miongoni mwao hubakia kuwa single mothers hadi uzeeni tokana na tabia zao au ile kauli ya "kunguru hafugiki kamwe"
 
Kuowa singo mama siyo kosa owa aliyemzalisha kama amekufa.

Ni kosa kubwa kuowa kwa sababu unawaonea huruma na ni kosa kubwa zaidi kutegemea kwamba ameshapata fundisho la maisha na kwamba hatokuletea mambo ya kijinga,hakuna duniani kiumbe msahaulifu kama mwanamke huyo utamlisha vizuri utamvesha vizuri akifata matunzo ya mtoto kwa aliyemzalisha akimsifia kidogo sket itashushwa kwa wepesi sana na akirudi atakudharau!
 
1. Unajijua ni mrembo wa akili na mwili.
2. Umechoka upweke
3. Ni mpambanaji mtafutaji
4. Unahitaji kumbatio la nafsi
5. Upo tayari kupima
6. Dini siyo kikwazo
7. Siyo bongebonge au upo tayari kutherapy kupunguza unene

Basi tukutane inbox nina jema la kwako
Mkuu jina la avatar yako litakuponza hata Kama una Jambo serious..
Unaweza kunieleza ni kwann urudi kwa single mothers?
Badala ya kutafuta wanawake ambao bado hawana watoto?

Ila single mothers ni tatizo la kitaifa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheikh
Huu utamaduni walioujenga ameature girls kuwa akipata handsome boy watapata mtoto mwenye sura laini kama revola ndo kinawaponza sana.

Na wakishapigwa ujauzito na drama za kutosha huishia kuwa singo mamaz. Hawajui kwamba being a father is not the amount ya manii alizonazo mwanaume bali capability ya kuhandle situations and sacrifices zake kwa familia.
Kids are gifts wasiwe subject to mahusiano bali subject to familia
Fact
 
Usije kuoa mwanamke kwasababu unamuonea huruma na amepitia au anapitia changamoto.
Kuna watu waliwasomesha wapenzi wao ili waje wawaoe na wengine wakaenda mbali zaidi hadi kuwatafutia kazi ila mwisho wa siku waliishia kuachwa.
Huyu single mom unamuoa kwa kumuonea huruma unaweza kumuoa ametelekezwa na jamaa hana mawasiliano ila mwisho wa siku jamaa anaweza kuja kwa kigezo cha kulea mtoto pamoja na wewe ukapigwa chini.
Umenikumbusha kitabu cha riwaya Mfadhili kidato 6.
[emoji1787]
Mkuu hali ya sasa ni tete.

Bora kuwa na aliyegaragazwa na changamoto kuliko hawa slay queens ambao hawajui nini maana ya soulmate
 
Back
Top Bottom