natafuta simu za demo za samsung galaxy

natafuta simu za demo za samsung galaxy

baba-mwajuma

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
5,875
Reaction score
12,433
guys natafuta Samsung galaxy demo unit zile ambazo haziingii line iwe ni kuanzia galaxy s6, s6 edge, note 5, s6 edge plus, s7 au s7 edge. natafuta kama show off kwenye project zangu za elimu itatumika kuonyeshea mambo mbalimbali hivyo ukosefu wake wa kutoingia line sio issue.

budget yangu ni 150,000 inaweza kupanda kidogo au kama utafanya kama donation sio mbaya

pia kama ipo simu ambayo ilikuwa ni original lakini imefungiwa na TCRA pia inaweza kufaa kwa kazi hii

hata wale ambao wana simu fake nilizozitaja hapo juu kama unataka kufanya donation unakaribishwa

namba yangu ni 0682 954575
 
Back
Top Bottom