Natafuta simu ya android isiyozidi 250,000

Natafuta simu ya android isiyozidi 250,000

nina nokia c3 mpya 230000 Laki mbili na thelasini
 
Nashukuru mkuu but
1. Sipendi Nokia
2. Advisers wanadai hiyo sio simu nzuri (according to technology blogs)

Nashukuru sana but i will pass
 
google ideos phone ina miez miwil sasa
1.5 net....
0712507060
 
Mwenye nayo ani pm

Kaka
nitakupatia simu aina ya ZTE original kutoka shirika la simu CHINA,nimeziuza sana Tanzania zina ubora wa hali ya juu na bado watu wanaziagiza
1.model number-ZTE-BLADE
2.Android version-2.3.5
3.Baseband version-P729B01
4.Kernel version-2.6.35.7-perf+
zte-kernel@Zdroid-SMT
5.ZTE-BLADEV1.0.0B01

BEI ZETU SI KUBWA ILA UBORA WA SIMU NI WA HALI YA JUU
TZS260000/= TU

kwa kuwa wabongo mnapenda vya bei rahisi ndio maana wachina wanawaumiza,lakini kwa sisi tunao wafahamu wachina always tunafanya biasha ya ubora wa hali ya juu na hatupunguzi bei iwe kwa khali yeyote ile

kama unahitaji kuwa huru tuwasiliane kupitia director@ihamsolar.com
 
nina nokia c3 mpya 230000 Laki mbili na thelasini


Hakuna Nokia yenye operating system ya Android mkuu.Wao wanatumia Symbian,ingawa programu nyingi zinazo-run kwenye Android na Symbian inazo pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom