Natafuta simu slim

Natafuta simu slim

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,004
Habari za mchana wa leo.?
Nahitaji kununua simu aina yeyote iwe na key pad(isiwe touch screen) iwe na HALI NZURI,iwe inatumia line 1 au 2,iwe Original.Kama nilivyoandika hapo juu iwe SLIM(NYEMBAMBA) Iwe mpya au used yote ni sawa.
Aliye nayo aniPM au anitumie sms kwenda 0787140432.Ni vema ukataja aina ya simu,weka na picha yake sanjari na bei yake.
Mimi nipo Sakina,Arusha.
 
Back
Top Bottom