Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,869
- 2,118
- Thread starter
-
- #81
Rejea Thread sikusema nataka simu mpya!Namaanisha bei za simu mpya Mwanza ni rahisi zaidi kuliko used jf... so huna haja ya kutafuta jf.. nenda moja kwa moja dukani kuna bei nafuu zaidi.
Kwa hiyo umenunua simu used kwa mtu akakutengenezea na risiti kabisa?!..Rejea Thread sikusema nataka simu mpya!
HayaOk.. Dar used kama yako ukimpata mtu mwenye shida sana atachukua 300k mwisho.
Ipo j3.. kama vp ni pm.Mm natafuta j2, nani anayo anauza?
Sh ngapi hiyo j3?Ipo j3.. kama vp ni pm.
270k..Sh ngapi hiyo j3?
Parefu sana ndomana nikataka j2, hiyo ni mpya au used?270k..
Simu gani hiyo unauza?nicheki 0679769983 kabla sijaiuza
Tecno w2Simu gani hiyo unauza?