Natafuta simu samsung s5, Budget ni tsh laki 2

S5 kwa iyo bei ndugu yangu na kwa hayo masharti uliyoweka ukipata njoo uniuzie mm kwa mia 5 asee iyo bei ya s3 labda
 
S5 kwa iyo bei ndugu yangu na kwa hayo masharti uliyoweka ukipata njoo uniuzie mm kwa mia 5 asee iyo bei ya s3 labda
Njoo nikupe nimeshaipata sikupi kwa 500 nakupa kwa 400 tu mzee full finger prints, 32GB, 6.1 android version.
 
Hiki ni kituko, magogoni vituko na humu kwenye forum vituko
 
kwani S4 ina shida gani..dah maishani tupo tofauti sana.

jikune unapofikia usitake makuu..
hahaha mzee super nova wewe saa hizi utapenda kumiliki simu zile phlips ili hali umeshakuwa na huawei ascend 300?
 
ongea na bashite akakunyang'anyie kwa waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…