Natafuta simu - Budget 20k

Natafuta simu - Budget 20k

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Nimepoteza smart4ne yangu, natafuta simu itayonipa mawasiliano kwa kipindi hiki. budget 20k strictly. Kwa aliyetayari anipm.
 
Nimepoteza smart4ne yangu, natafuta simu itayonipa mawasiliano kwa kipindi hiki. budget 20k strictly. Kwa aliyetayari anipm.

Mkuu 20k ni sawa na 20*1000=20,000/-. Embu tuambie smart phone gani unayotaka ya elfu 20?
 
hata tochi sio 20k bhana, acha dharau mkuu au alimaanisha 200k? The Giant
 
Last edited by a moderator:
hata tochi sio 20k bhana, acha dharau mkuu au alimaanisha 200k? The Giant
Wakuu, sijadharau mtu. Ila naongea budget niliyonayo nipate basic phone ili nirudi hewani. Kwa akili ya kawaida sidhani kma kuna smartphone yoyote itayouzwa 20k, ila basic phone naweza nkapata. Ni hivyo tu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom