Natafuta simu aina ya Huawei na sumsing

Natafuta simu aina ya Huawei na sumsing

Bible

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
136
Reaction score
8
Natafuta simu tajwa hapo juu nipo Mbeya na ziwe na vifaa kamili nina 100000 kwa mawsiliano 0762369619 bei hiyo kwa kila moja.
 
Sumsing hii nadhani haipo na kama ipo
basi utakuta hata net haikati kabisa
 
Maelezo yako hayajitoshelezi.. Ila nahisi utakua unahitaji Smartphone yenye Android OS au sio.

Kwa hiyo bei, unaweza pata Huawei u8560 almaarufu kama ideos au Huawei Y100. Kupata Y200 labda kwa mtu iwe used sana.

Samsung utapata zipo kibao za bei hiyo. Sema kubali lazima iwe used sana.
 
Nina gallaxy note 2 nipe laki 8,hipo full kila kitu
 
Nakushauri uende dar. Hizo Huawei Y300 zipo bwerere kwenye tigoshop kwa 95,000 TU.
 
Back
Top Bottom