tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,146
Yaani unaomba msaada, mtu anataka kukusaidia unahisi harufu ya utapeli? Aya buana. Kwa ufupi ID yangu ni ya kawaida inanifafanua, mimi ni mlinda amani mvuruga amani, hili nalitekeleza sana pale zitokeapo vurugu alafu nikaamuliwa kwenda kutuliza, mara nyingi nimekuwa nikiongeza idadi ya majeruhi badala ya kuwapunguza. Fujo itokeapo mjini huwa sichezi mbali na maduka ya simu ili wenye maduka wakichanganywa na ule moshi niutumiao kutawanya waleta fujo nijipatie walau simu mbili tatu au siyo mkuu. ME ndo Mshikawezi Mwezi kijana kuwa makini.
Watu na hakiri finyu yani jamaa kachapia kidogo tu shida
Hata wewe unae mkosoa mbona hukupata 100% marks za mitihani yako darasani.
Je ulikuwa huna akili za kutosha au kilaza wa kuandika spelling,
It's normal for me,mtu akikosea spelling bcz yeye sio mungu,
Na hujui mtu ameandika akiwa na tension gan
Be serious km unataka kumpa saada msaidie sio maneno mengi kama njiwa

Temple ni hekalu sasa shule ya temple ni ipi jamani?
Watu na hakiri finyu yani jamaa kachapia kidogo tu shida
Hata wewe unae mkosoa mbona hukupata 100% marks za mitihani yako darasani.
Je ulikuwa huna akili za kutosha au kilaza wa kuandika spelling,
It's normal for me,mtu akikosea spelling bcz yeye sio mungu,
Na hujui mtu ameandika akiwa na tension gan
Be serious km unataka kumpa saada msaidie sio maneno mengi kama njiwa
nashangaa unaandika waraka mkubwa wa kumkosoa mwenzio wakati wewe mwenyewe ni kiazi tu..
hiki kiswahili cha HUSIJE umefundishwa na nani??
nakereka sana na watu kama nyie
husije=usije
hupo=upo
daaa natamani niwatilie sumu
Mimi ni mwalim ninaesubir ajira,natafuta temple kwa shule hasa za private...ni mwalimu wa physics na hesabu..namba za simu 0654919407/0753157624..tuwasiliane kwa mwenye hitaji hilo
Hizo namba zako kila nikipiga hazipatikani. Kuna chuo hapa kinahitaji mwalimu wa masomo kama yako haraka iwezekanavyo, mshahara ni Tshs 2,500,000/= hiyo ni take home, kama upo tayari kufundisha ila si temple utapewa mkataba wa miaka mitano, ukiwa fit unapewa permanent mkataba baada ya hiyo miaka mitano. Nyumba ipo ina vyumba vitatu, choo, bafu na jiko. Umeme wa uhakika na umeunganishwa kwenye luku ya chuo hivyo ulipii wewe. Maji yapo katika mfumo huohuo kama wa umeme. Ukifanya kazi hiyo miaka mitano, ukitaka kujiendeleza ni jukumu la chuo kukulipia ada na kila kitu kitakachohusu taaluma yako. Kama uko tayari ni PM tafadhari.