Temple ni hekalu sasa shule ya temple ni ipi jamani?
na anategemea kufundisha. hao wanafunzi wake watakuwa vilaza!
Temple?? Ukafundishe hekaluni au?
Huo mshahara ni 250000 or 2500,000Hizo namba zako kila nikipiga hazipatikani. Kuna chuo hapa kinahitaji mwalimu wa masomo kama yako haraka iwezekanavyo, mshahara ni Tshs 2,500,000/= hiyo ni take home, kama upo tayari kufundisha ila si temple utapewa mkataba wa miaka mitano, ukiwa fit unapewa permanent mkataba baada ya hiyo miaka mitano. Nyumba ipo ina vyumba vitatu, choo, bafu na jiko. Umeme wa uhakika na umeunganishwa kwenye luku ya chuo hivyo ulipii wewe. Maji yapo katika mfumo huohuo kama wa umeme. Ukifanya kazi hiyo miaka mitano, ukitaka kujiendeleza ni jukumu la chuo kukulipia ada na kila kitu kitakachohusu taaluma yako. Kama uko tayari ni PM tafadhari.
Mimi ni mwalim ninaesubir ajira,natafuta temple kwa shule hasa za private...ni mwalimu wa physics na hesabu..namba za simu 0654919407/0753157624..tuwasiliane kwa mwenye hitaji hilo
Hizo namba zako kila nikipiga hazipatikani. Kuna chuo hapa kinahitaji mwalimu wa masomo kama yako haraka iwezekanavyo, mshahara ni Tshs 2,500,000/= hiyo ni take home, kama upo tayari kufundisha ila si temple utapewa mkataba wa miaka mitano, ukiwa fit unapewa permanent mkataba baada ya hiyo miaka mitano. Nyumba ipo ina vyumba vitatu, choo, bafu na jiko. Umeme wa uhakika na umeunganishwa kwenye luku ya chuo hivyo ulipii wewe. Maji yapo katika mfumo huohuo kama wa umeme. Ukifanya kazi hiyo miaka mitano, ukitaka kujiendeleza ni jukumu la chuo kukulipia ada na kila kitu kitakachohusu taaluma yako. Kama uko tayari ni PM tafadhari.
ID yako tu inatia mashaka..kuna harufu ya utapeli hapa!!
Mimi ni mwalim ninaesubir ajira,natafuta temple kwa shule hasa za private...ni mwalimu wa physics na hesabu..namba za simu 0654919407/0753157624..tuwasiliane kwa mwenye hitaji hilo
Mwalimu nasikitika kukueleza kwamba...
Umekosea kuleta ujumbe kwa kimaandishi!
Nilipokuwa darasa la kwanza mwalim wangu aliyenifundisha kusoma na kuandika alinisisitizia jambo jema saaana..
Herufi na silabu hizi zinaleta maana ya neno zikiunganishwa, akaniambia pia husije ukaunganisha herufi na silabu kutengeneza neno ambalo hauelewi maana yake, siku muulewa nikamuuliza una maanisha nini akasema kusikia neno na kuliandika ni taofuti,
Hivyo basi ukisikia neno hakikisha unaelewa jinsi ya kuliandika na kutamka bila kusahau maana yake.
Ukiweza hapo maisha ya elimu yanakuwa mazuri....
Sasa kwa case yako umewaduwaza watu woote sisi sote tuliopitia uzi wako,
Mimi niliposoma tu heading kabla sijafungua nilijiuliza huyu ni KUHANI ama mwalim..
Temple maana yake sehemu ya kuabudia dear teacher... sasa sijui wewe ulikuwa unamaanisha nini tafadhali!
Pole kama nimekukwaza boss