Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,635
- 29,509
Nna kijana wangu ambae anatarajia kujiunga na Darasa la kwanza hivi karibuni hivyo natafuta shule ambayo pamoja na masomo ya kawaida pia wanafundisha muziki pamoja na michezo ya kujihami kama karate, taekwondo na kadhalika. Ntafurahi kama shule hiyo itapatikana ndani ya mkoa wa Dar na wilaya ya kinondoni.