mwasambili
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 151
- 77
HABARI WAHESHIMIWA,
BY PROFESSIONAL NI CIVIL ENGINEER(nipo mwaka wa nne nategemea kuhitimu mwaka huu),lakini nina uwezo wa kufundisha masomo ya physics na mathematics(kuanzia form one hadi form six),,kwa muhula ujao huwa tunautumia kuandaa project ambapo binafsi ninategemea kuikamilisha wiki mbili zijazo.
hivyo nitaanza kuwa na nafasi kuanzia tarehe 30/03/2015.
kwa yeyote ambaye ana uhitaji nami tuwasiliane 0716256111
NB.ninatafuta shule za Dar es salaam tu.
natanguliza shukrani za dhati