Uwezo wako wa pesa ukoje?Naulizia shule nzuri za binafsi (Private) za advance kwa michepuo ya Sayansi zilizopo, ziwe mahali popote hapa Tanzania.
Ok ,kuna shule inaitwa Alpha ipo mikocheni B ada milioni 5Pesa sio tatizo, quality ya kinachotolewa ndo naangalia zaidi
Enhee uliza swali lolote nakusikilizaThanks mkuu, pamoja
Ww upo wapi ?Form zishaanza kutolewa? Na nazipata wapi?
Ww upo wapi ?
Kama upo vizuri sema nikupeleke mpk hapo shuleni
Fomu zishaanza kutolewa kitambo ,na wenzako washaanza kusoma pre form five ,fomu 5 inaanza rasmi mwezi wa saba
Ila hiyo pre form 5 ni kwa baadhi ya masomo haswa yale yenye topics nyingi lakini hawarudii kwa hiyo mwezi wa saba fomu five ikianza rasmi wanaanzia pale walipoishia.
Usione aibu.Sio mimi mkuu ni mdogo wangu, anataka kusoma PCB
Anhaa ,haina shida awe serious akipata nafasi maana kuna mademu pini balaa paleHahaha aibu ya nn mkuu...ni kijana wa kiume
Ukiwa tayali nishtue nikupe namba ya academic supervisorNoted bro