Natafuta shule nzuri ya boarding ya kuhamia kidato cha tatu

Wyt Chris

Member
Apr 30, 2013
78
47
Habari zenu wanajamii forum, naomba mnisaidie natafuta shule binafsi ya boarding kwa ajili ya mdogo wangu ili ahamie kidato cha tatu. Kwa yeyote ayejua shule nzuri tafadhali usisite
 
Hujaeleza ni ke au me...... Shule nzuri zipo na zinajulikana, kuna Marian boys and girls, St Francis, St Joseph cha msingi huyo mdogo wako awe fit kichwani maana hawapokei vilaza hao
 
Mkuu naomba nifahamishwe ada zao na mahali zipo izo shule
 
Marian zipo bagamoyo last time nimecheki ada ilikuwa mil1.8 sijui kwa sasa, shule zingine sijui ada lakini nadhani zitakuwa kwenye mil2 St Francis na mil3 St Joseph... St Francis iko mbeya, St Jo iko dar
 
Hujaeleza ni ke au me...... Shule nzuri zipo na zinajulikana, kuna Marian boys and girls, St Francis, St Joseph cha msingi huyo mdogo wako awe fit kichwani maana hawapokei vilaza hao

Sorry sikulisema hilo, mdogo wangu ni wa kiume lkn hata ikiwa mchanganyiko au wavulana watupu sawa tu
 
Marian zipo bagamoyo last time nimecheki ada ilikuwa mil1.8 sijui kwa sasa, shule zingine sijui ada lakini nadhani zitakuwa kwenye mil2 St Francis na mil3 St Joseph... St Francis iko mbeya, St Jo iko dar
Shukrani sana mkuu na vipi ukitaka kumuhamishia mtu inakuaje maana kuna mdogo wangu wa kike yupo form one nataka akaanzie hapo tena form one sijui utaratibu utakuwaje hapo kwamba interview inabidi afanye mwaka huu au hapo wakati atakapohamia?
 
Wana jamii forum ninaomba mnisaidie shule ya a level mkoan iringa ya binafc yenye matokeo mazuri
 
Shukrani sana mkuu na vipi ukitaka kumuhamishia mtu inakuaje maana kuna mdogo wangu wa kike yupo form one nataka akaanzie hapo tena form one sijui utaratibu utakuwaje hapo kwamba interview inabidi afanye mwaka huu au hapo wakati atakapohamia?

Inabidi afanye interview mwaka huu
 
Marians ni kimeo ukitaka mtoto wako awe msagaji au chakula peleka pale.
 
Thanks bro, na vp kuhusu perfomance ya shule (Eagle boys), ada na form zinapopatikana kama hautojali kunisaidia kwa hili.

Form sijui zinapatikana wapi labda shuleni penyewe. Performance yao ni nzuri wanafaulisha.... Ada itakuwa kati ya mil2 na mil3
 
Back
Top Bottom