killo255
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 110
- 127
Habari wanajamvi! Mimi ni kijana mwenye kutafuta shule ya Kidato cha 5&6 ya private yenye sifa zifuatazo;
1. Yenye kuweza kufaulisha vizuri.
2. Yenye Hostel.
3. Ada nafuu.(chini ya M_1.5 kwa mwaka)
4. Combination za Arts hasa.
5. Mikoa hasa ya Morogoro, Dar, Bagamoyo, Iringa na Mbeya.
NB; Mikoa mingine pia yafaa kupendekezwa. Najua shule hizi za bei chee zinaweza kucost ila Umasikini wetu na Uchu wa Elimu ndiyo vinaleta msukumo.Kupitia jukwaa hili naona naweza kupata msaada, Kwa wenye dokezo naomba msaada tafadhal!
Nawasilisha.