Natafuta shule nzuri kujiunga advance level

Neytemu

Member
Nov 7, 2010
83
1
Matokeo ya kidato cha nne hayakua mazuri ila nina B-english,C-kiswahili na C-biology.Niko tayari kwa shule yenye nafasi nzuri yenye kufaulisha wanafunzi wa kidato cha sita na yenye mazingira mazuri ya kusoma.

Ikiwa hapa Dar es Salaam ni vizuri na nipo tayari kwa mchepuo wa ARTS.
 
Nenda jitegemee HKL, wana walimu wazur, na mazingira mazur japo kuna ni shule ya kiume, siunajua jeshini pale.
 
Matokeo ya kidato cha nne hayakua mazuri ila nina B-english,C-kiswahili na C-biology.Niko tayari kwa shule yenye nafasi nzuri yenye kufaulisha wanafunzi wa kidato cha sita na yenye mazingira mazuri ya kusoma.

Ikiwa hapa Dar es Salaam ni vizuri na nipo tayari kwa mchepuo wa ARTS.
hongera shule ni nzuri kama unajielewa ww ni mwanafunzi.shule ka Umbwe sec ipo moshi ni nzuri japo ina scandles kibao,private school ka kidugala iringa.
 
Kwa marks hzo,Nenda midland ndo watakuchukua.
mm nilikuwanajua uwa unadis vyuo tu!!!!!!kumbe mpaka secondary !!!!!wewe kweli mkali au ndio shule uliyomalizia A LEVEL nn unajaribu kiuipa promo?????????
 
Wewe ni mvulana au msichana?maana naweza nika-suggest shule nzuri ya wasichana kumbe wewe ni mvulana
 
acheni masihara kwani bwana mdogo anaomba msaada! sisi wengine tumemaliza sec miaka kumi ilyopita hivyo hatujui soko liko vipi kwa sasa.
 
Bora matokeo yametoka sasa mnakuja kwa heshima,history una ngapi???? HKL(?.C.B
)--Total Point 9 kama una D ya history
 
Back
Top Bottom