ingekuwa kweli ingekuwa na maelfu ya wanafunziKatika shele zenye viwango vya kimarekani St. Jude inaongoza japo hizo shule ni za bure kwa watoto maskini tu wenye akili safi sidhani kama wanachaji ada ninavyojua hawachaji hata thumni.
Good hata mimi mtoto wangu anasoma Magnificat ni shule nzuri form two wamefanya vizuri sana.mwanangu darasa lao wote walipata distinction na mwaka jana form two walitoa 10 bora.ingawa bado ni mpyaMkuu nakushauri kwa dhati kabisa mpeleke either Visitation Girls or Marginificant zote zipo Kilimanjaro wilaya ya Siha. Zinafanya vizuri Sana kwa kweli.
Kumbe shule yenyewe inachukua watoto ambao tayari ni wazuri kitaaluma sio kwamba inawaandaao wao?Hakikisha amepata alama A nikuunganishe na MaryGoerth hapa Moshi hakika utakuwa umemtengenezea maisha!
kuna wengine magenius wanarukishwaga mkuu
Wewe unategemea huyo kila.za wako ataziweza shule za Masista..??Hakuna shule za hovyo kama za Mastista tena ukute ni wahindi, Mimi ni Mkatoliki na wajua Ubaguzi wanao sana.
Naomba yeyote anayejua ada ya hiyo shule ya magnificat please naomba tuambiane
Mary Goret unaicha wapi...usihangaike na mashule ada mamilioni halafu performance mdebwedo. kama up stair yupo vizuri afanye interview za za kujoin St marys Mazinde juu, kifungilo, Anuarite na Kibosho sec.