Private chini ya milioni 2 huduma zake huwa ni mbovu ni bora uende government ujue moja.Wakuu habari zenu,
Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million.
Asanteni sana wakuu
Kwa ada hiyo kwa shule za private make sure kwamba unaenda kuiona na kujiridhisha vinginevyo usije kumlaumu mtoto.Wakuu habari zenu,
Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million.
Asanteni sana wakuu
Hamna kitu humuLoyola high school