Lugovoy
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 595
- 195
I like JF familymcheck mcharo 0713967652,huyu ndie field manager. .yuko fresh tu
I like JF familymcheck mcharo 0713967652,huyu ndie field manager. .yuko fresh tu
that's how life supposed to be i thinkI like JF family
Yes ,it's truethat's how life supposed to be i think
Kwa ambaye hajwahi fanya kazi za research hana budi kuchekelea but kwa waliofanya na taasisi kadhaa ni ngumu kupiga nao mkataba kama mdau alivyo sema!nauli ni elfu 8 hiyo unapewa daily unapoenda field na hiyo ni endapo kazi itafanyikia maeneo ya mjini ila kama ni vijijini nauli inaongezeka na mnapewa pesa ya kulala ambayo ni elfu 18 per day then kila siku mnayofanya kazi unahesabiwa elfu 13 ambayo itazidishwa mara idadi ya siku ulizofanya kazi afu utapewa baada ya kazi kuisha
Sasa hiv elfu 10wanatoa elfu 8 per day
Nauli elfu 10 na kazi elfu 13 per dayHizo ni nauri au jumla na ƴa ƙazi?
basi watakua wameongeza,me niliacha ilikua elfu 8Sasa hiv elfu 10
mkuu wanaangalia vigezo gani ili mtu kujoin nao??Hata mm nawajua hao Sagacci. Wapo poa tu just mchek boss mcharo au jamaa anaitwa amir. Juz walikuwa wanataka watu nikawaunganisha jamaa zangu wa 4 sasa hivi wamepewa training na wanafanya kazi fresh wapo na project mpya now so changamka
Mkuu ukishakuwa na diploma u degree means ni mtu unae jielewa na unafundishika. Ila kama una background ya mambo ya research inakuwa advantage sanaaamkuu wanaangalia vigezo gani ili mtu kujoin nao??
what if kama mtu ndo yuko chuo hajamaliza .....anaweza kua enrolled kwa elim ya form 6??Mkuu ukishakuwa na diploma u degree means ni mtu unae jielewa na unafundishika. Ila kama una background ya mambo ya research inakuwa advantage sanaaa
Location/place?Mkuu ukishakuwa na diploma u degree means ni mtu unae jielewa na unafundishika. Ila kama una background ya mambo ya research inakuwa advantage sanaaa
Hawa jamaa ni wazinguaji hatari hasa kwenye malipo!na wabahili hatari hasa kwenye maswala ya mkwanja!ila kama unataka kusotea hela nendawanapatikana msasani..sema hawalipi vizuri mkuu..ila kama una shida ya kazi ngoja nkutafutie number za boss wao anaitwa mcharo.me pia nimewahi kufanya nao kipindi bado sijapata kazi ya kueleweka
Hata mm nawajua hao Sagacci. Wapo poa tu just mchek boss mcharo au jamaa anaitwa amir. Juz walikuwa wanataka watu nikawaunganisha jamaa zangu wa 4 sasa hivi wamepewa training na wanafanya kazi fresh wapo na project mpya now so changamka
kiukweli mimi nimefanya nao project mbili na hawajawah kunisumbua malipo yangu.Hawa jamaa ni wazinguaji hatari hasa kwenye malipo!na wabahili hatari hasa kwenye maswala ya mkwanja!ila kama unataka kusotea hela nenda
Mkuu naomba unisaidie namba ya Amir Maana Mcharo amesema kwa Sasa Hana maauzi saana paleHata mm nawajua hao Sagacci. Wapo poa tu just mchek boss mcharo au jamaa anaitwa amir. Juz walikuwa wanataka watu nikawaunganisha jamaa zangu wa 4 sasa hivi wamepewa training na wanafanya kazi fresh wapo na project mpya now so changamka
InboxMkuu naomba unisaidie namba ya Amir Maana Mcharo amesema kwa Sasa Hana maauzi saana pale