Natafuta shori wa kula weekend

Shori ndio nini?
Samahani kwa usumbufu.

Kwa kikwetu ni aina ya ndege,tunaita "lishore" au "shore",...kwa koo zingine kwenye kabira letu wanaita "kirindo"!
Ni ndege asie na mkia mrefu,anaruka umbali mdogo sana so ni rahisi kumkimbiza na uka mkamata!

Ni mtamu sana,ila sijui yoyo alimaanisha nini
 
WANA jf,u people are intelligent enough to read between the lines,.what yoyo means- he is looking for a man
wewe shori? kwa weekend hii nikupata kama weye ni mvurugo tu.....kuwa serious kadadaaa where to meet?
 
kama hii mkuu napiga peku peku....
wgSnIkp.jpg
 
Kwa kikwetu ni aina ya ndege,tunaita "lishore" au "shore",...kwa koo zingine kwenye kabira letu wanaita "kirindo"!
Ni ndege asie na mkia mrefu,anaruka umbali mdogo sana so ni rahisi kumkimbiza na uka mkamata!

Ni mtamu sana,ila sijui yoyo alimaanisha nini

ooh!
Ameshasema hapo amemaanisha nini.
Ahsante kwa maelezo mheshimiwa speaker.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom