Natafuta shamba tarafa ya lupembe

Natafuta shamba tarafa ya lupembe

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,720
Reaction score
10,278
habari zenu wakuu

polen na shughul za kusaka tonge la kila siku
husika na mada hapo juu mimi natafuta shamba la kupanda parachichi lililopo katika tarafa ya lupembe.

Bei isizidi 100,000/= Tsh kwa eka likiwa barabarani itapendeza zaidi na ikiwezekana hela itapanda

mawasiliano n Pm
 
Unataka eka ngapi
 
Kuna uzi humu jamaa anauza mashamba ya maparachichi huko lupembe bei hiyo hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom