concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
wadau mwenye kuweza kunisaidia kupata shamba la kununua morogoro lililo karibu na mto usiokauka. budget yangu ni 120000/ acre na napenda nipate walau acre 50 mwenye nalo tuwasiliane kwa mail. magesa101@gmail.com au nipige pm nitamtumia namba