Fuga Kisasa
Senior Member
- Jan 16, 2016
- 165
- 91
Asante kwa maoni yako mkuusikuizi mkuranga sio km ya miaka iyo heka mpk mill 2,3 nakuendelea vutasubila utawaona tu
Shamba lipo lakini si Mkuranga mbele ya Mkuranga kijiji kinaitwa Kilimbwanindi lipo kando kando ya mto maji ya kutosha sana ila lina heka 12. Kama utapendezewa ni pm tuongee Zaidi.bado natafuta wadau
Nahitaji Mkuranga mkuuShamba lipo lakini si Mkuranga mbele ya Mkuranga kijiji kinaitwa Kilimbwanindi lipo kando kando ya mto maji ya kutosha sana ila lina heka 12. Kama utapendezewa ni pm tuongee Zaidi.
Lipo Mkuranga sehemu gani? Kwa eka moja unauzaje?Shamba lipo lenye ukubwa wa eka 100 na zaidi, manunuzi ni uwezo wako.
Shamba lipo lakini si Mkuranga mbele ya Mkuranga kijiji kinaitwa Kilimbwanindi lipo kando kando ya mto maji ya kutosha sana ila lina heka 12. Kama utapendezewa ni pm tuongee Zaidi.
Shamba lipo lenye ukubwa wa eka 100 na zaidi, manunuzi ni uwezo wako.
Tunauza lote kwa 11m na maongezi yapo.Bei gani kwa heka?
Shamba lipo lakini si Mkuranga mbele ya Mkuranga kijiji kinaitwa Kilimbwanindi lipo kando kando ya mto maji ya kutosha sana ila lina heka 12. Kama utapendezewa ni pm tuongee Zaidi.
Shamba halina hati kijiji kiko barabarani ni kati ya vituo kabla hujafika Kimanzichana ila shamba liko ndani kama mita 500. Kwa mawasiliano Zaidi 0716 317555.Lina hati? Hiko kijiji kiko umbali gani kutoka barabara ya lami?
Weka mawasiliano tukutafute...
bagamoyo vipi unataka hekari ngapi?
laki nne utapata kama uko vizuri!Me nataka hata ekari 2 bagamoyo unauzaje hhuko??
Mashamba kama hayo ukicheki cordinates unakuta lipo open space au kiwanja cha shule,usiende nayo kichwakichwaShamba halina hati kijiji kiko barabarani ni kati ya vituo kabla hujafika Kimanzichana ila shamba liko ndani kama mita 500. Kwa mawasiliano Zaidi 0716 317555.