Natafuta shamba Bagamoyo

Natafuta shamba Bagamoyo

Aika Mndumii

Senior Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
164
Reaction score
47
wakubwa natafuta shamba ekari 10 bagamoyo. Liwe katika eneo tambarare na sehemu yenye rutuba inayofaa kwa kilimo. likiwa jirani na barabara ya msata bagamoyo ni nzuri zaidi. Ni sehemu yeyote bagamoyo. Nikiweza kupata muuzaji mwenyewe ni vizuri zaidi maana siku hizi matapeli wengi. Ofa yangu ni 500,000 kwa ekari moja.

Nashukuru kwa mwenye nalo. Nitashukur pia kwa ushauri kwa wale wazoefu kwa maeneo hayo.

Natanguliza shukrani.
 
Nina mashamba bagamoyo kama ekari 2000 hivi, nitumie SMS au Whatsapp kwenye +255769142586 (usipige tafadhari)
 
Hii kali,yaani asipige?
Haya acha mziki uendelee,msije kuibuka kina Kitomar wengine

Nipo bize Na majukumu mengine mhimu zaidi, usiwe mshamba SMS hata Whatsapp inatosha kuwasiliana na mtu tena kwenye Whatsapp naweza kukutumia picha, video, location etc...endelea na ushamba wako wenzio Facebook wameinunua whatsapp kwa dola bilioni 19
 
Kwa hilo la usipigiwe acha niendelee kuwa mshamba,Busy ndio wapi hata sim usipigwe.Biashara kichaa kweli,yaani dunia hii biashara inafanywa kizamani namna hii,kazi kweli
Mnunuzi ukihisi usumbufu nenda kwa mwenyekiti wa Serikali za mitaa wa maeneo husika,wanakuwa na majina ya wamiliki wa mashamba,wao wataku connect nao na kuamua wapi utataka.
 
Asante mkuu kwa ushauri. Hii inaweza kuwa sehemu nzuri ya kuanzia.
 
Wewe ndiyo unaleta habari za kizamani na ushamba wako, Whatsapp ndiyo habari ya sasa lakini naweza nikawa nazidi kupoteza muda maana huenda hata hiyo Whatsapp yenyewe hujuwi ni kitu gani
 
Asante mkuu kwa ushauri. Hii inaweza kuwa sehemu nzuri ya kuanzia.

Pia husisha na Mwenyekiti wa Kijiji,ambae ndio mtu muhim sana kwako.Hii inategemea na eneo shamba lilipo,hasa kwa mashamba yaliyo mbali na makazi ya watu.
Kwenye ununuzi wengi wanachukua 10%,ila unaweza kushushana nao.
 
Kwa hilo la usipigiwe acha niendelee kuwa mshamba,Busy ndio wapi hata sim usipigwe.Biashara kichaa kweli,yaani dunia hii biashara inafanywa kizamani namna hii,kazi kweli
Mnunuzi ukihisi usumbufu nenda kwa mwenyekiti wa Serikali za mitaa wa maeneo husika,wanakuwa na majina ya wamiliki wa mashamba,wao wataku connect nao na kuamua wapi utataka.

mkuu nashukuru kwa ushauri. Nafikiri hapa ni pazuri kwa kuanzia.
 
Mambo gani haya hahhahaha nimecheka sana eti usipigie,nitajuaje na deal na nani sasa??
 
Back
Top Bottom