Natafuta self ya chumba kimoja ya kupanga moshi

Natafuta self ya chumba kimoja ya kupanga moshi

miettu

Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
25
Reaction score
0
Natafuta nyumba ya kupanga Moshi, iwe self ya chumba kimoja, au vyumba viwili double, ila pawe na parking ya kupaki gari.

0758-717754
 
Nenda soweto ya hapo moshi town pana nyumba za kupanga nzuri na barabara zipo poa
 
Ok, asante. bei huwa zinakuaje? ndio naamia moshi kikazi so sio mwenyeji sana
 
Back
Top Bottom