Habar zenu wanajamii mimi ni bint nilimaliza chuo mwaka juzi so ajira ilikuwa ngumu kupata maisha nimagumu saana ukizingatia nimesoma kwa tabu mno niliangaika biashara ndogondogo mpaka mtaji ukakua ikabidi mimi namamayangu tuanzishe biashara ya chakura mama yangu alikuwa yupo kwenye kikundi wanapika kwenye maharusi yaan ni mtaalam wa mapishi kikundi kikafa akawa ameacha so tukajiunga mimi nayeye tukawa tunapeleka chakula kwenye kampuni moja ivi kkoo,so tumepeleka mwaka mzima now kampuni imeamia mwanza so ombi langu waungwana naomba connection ya mahali iwe office au sehemu ambayo tunaweza kuprovide chakula plz