Natafuta sehemu ya kununua lobster wa jumla jumla (very urgent)

iregi

New Member
Jan 14, 2012
1
0
wandugu naomba msaada wenu, ninatafuta kununua jumla jumla samaki wa aina ya lobsters hapa bongo. Shida yangu mpaka sasa nimeshindwa kupata hilo soko liko wapi, nimeambiwa kuwa kuna watu wana mabwawa ambayo yanazalisha hao lobsters kwa wingi na kuuza. Tafadhali kama kuna mtu au watu wanajua contact za wenye mabwawa au eneo wanijulishe ili nami nijaribu bahati yangu.


Shukrani.
 
Back
Top Bottom