Natafuta sehemu ya kujitolea upande wa Procurement au store

Mwambie aongeze juhudi kwenye masuala ya networking...
80% ya ajira hazitangazwi...


Kweli mkuu wangu hata mi kazi niliyopata hapa haikutangazwa na kila uchao watu wanaongezwa then matangazo ya kazi hifuata....

Networking inalipa kwakweli tatizo ndugu zetu hawaelewi hili.....
 
Tanzania yetu ndio nchi ya furaha,nae mwl Nyerere ndie wetu muhifadhi,Tanzania yetu ndio Nchi ya furahaaa....!
 
Kweli mkuu wangu hata mi kazi niliyopata hapa haikutangazwa na kila uchao watu wanaongezwa then matangazo ya kazi hifuata....

Networking inalipa kwakweli tatizo ndugu zetu hawaelewi hili.....

Asanteeee! wewe umeshakuwa conected kwenye network yenyewe. ukiona hizo nafas nipm
 
Kama afya yake iko njema, basi namshauri ajiunge na JKT akakomae huko akimaliza atakuwa na sifa za kuajiriwa na serikali hususan vyombo vya ulinzi na usalama.Huko procurement yake inalipa na ataitumikia nchi yetu akiwa shupavu kabisa.

  • :wave:
 
hamna mwalimu mwenye elimu ya kuunga unga. Lakini kwenye fani nyingine kuna watu wamefeli form 4 wakapata d 2 au 3. Wakasoma certificate labda ya procurement au fani nyingine yoyote,then diploma na badae degree. Lakni kila mwalimu mwenye degree amefaulu form 4 na 6. Kwa maana hiyo walimu wamefaulu elimu zao za hawali upenyo wa waliofeli huko kwenye fani nyingine sio ualimu. Kama nimekosea naomba nielimishwe.

Acha uongo we kijana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom