- Thread starter
- #41
Samahani dada sikujua kama unaimba mipasho mashauz band!!!
haya aunt, wikend hii jahazi mtakua wap?
Samahani dada sikujua kama unaimba mipasho mashauz band!!!
Samahani dada sikujua kama unaimba mipasho mashauz band!!!
Kwa hiyo profession yako jaribu kuomba msd (bohari ya madawa) waweza bahatisha
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mji gani?tatizo la wadada wanachagua sn mazingira,nishakutana na ishu km hiyo,nikaamua kumsaidia huyo bi shost,nafasi ilipopatikana akaanza kusema kule ni kijijin sitaweza,mbaya zaid hakuwa muwazi kwangu..
Anawaeleza watu wengine lkn nikimuuliza mbona nafas imepatikana lkn u dont seem to b happy anasema yuko poa tu..
vizuri angekuja mwenyewe agongwe maswali kuliko kumsemea
hii lugha ilikuja na meli!
kwa hiyo unataka kila mtu nnchi hii akasome ualimu? Roten brain!!!!!. Tatizo mawazo yako mafupi yanawaza milimita moja mbele,waambie hao uliowashauri wakasome ualimu kisa boom 100% na ajira ya fastafasta watafutane na hawa wa kozi nyingine baada ya miaka 10 utaona walivyopigwa gap. Hujui mpaka leo easy come easy go! Usikatishe watu tamaa na ufinyu wa mawazo yako usiejua uchumi wa nchi unaendeshwaje, we unawaza ualimu tu. Beside! Alifaulu vizuri form six ndo maana akachaguliwa kozi nyingine sio ualimu! Mschiiiii!!!
Hii lugha ilikuja na meli!
hamna mwalimu mwenye elimu ya kuunga unga. Lakini kwenye fani nyingine kuna watu wamefeli form 4 wakapata d 2 au 3. Wakasoma certificate labda ya procurement au fani nyingine yoyote,then diploma na badae degree. Lakni kila mwalimu mwenye degree amefaulu form 4 na 6. Kwa maana hiyo walimu wamefaulu elimu zao za hawali upenyo wa waliofeli huko kwenye fani nyingine sio ualimu. Kama nimekosea naomba nielimishwe.
Subira yavuta heri. Be patient and uwe makini coz kuna wagagagigikoko humu, wakisikia miaka 24 ndimi zinawatoka ka mbwa kachoka.
Mkuu naona umejaza kamasi kwenye ubongo!aliyokuambia mdau ni kweli tupu!wako kibao wenye div 1 na 2 na 3 za mwanzo ambao wanapiga education,kwa hiyo kusema eti alifaulu vzr ni upuuzi mtupu!Unaweza kusoma education na bado ukaingia kwenye fani unayoipenda.DR.Magufuli unajua alikuwa mwalimu secondary?DR Khadege naye education sasa Lawyer na Prof Safari je?.Mwambie aje kwangu nina stoo ya mkaa.kwa hiyo unataka kila mtu nnchi hii akasome ualimu? roten brain!!!!!. tatizo mawazo yako mafupi yanawaza milimita moja mbele,waambie hao uliowashauri wakasome ualimu kisa boom 100% na ajira ya fastafasta watafutane na hawa wa kozi nyingine baada ya miaka 10 utaona walivyopigwa gap. hujui mpaka leo easy come easy go! usikatishe watu tamaa na ufinyu wa mawazo yako usiejua uchumi wa nchi unaendeshwaje, we unawaza ualimu tu. beside! alifaulu vizuri form six ndo maana akachaguliwa kozi nyingine sio ualimu! mschiiiii!!!
Mkuu naona umejaza kamasi kwenye ubongo!aliyokuambia mdau ni kweli tupu!wako kibao wenye div 1 na 2 na 3 za mwanzo ambao wanapiga education,kwa hiyo kusema eti alifaulu vzr ni upuuzi mtupu!Unaweza kusoma education na bado ukaingia kwenye fani unayoipenda.DR.Magufuli unajua alikuwa mwalimu secondary?DR Khadege naye education sasa Lawyer na Prof Safari je?.Mwambie aje kwangu nina stoo ya mkaa.
hahahaaaaaa!unapaniki nini dogo?si umeomba hata kazi ya stoo na mimi nimetoa ofa.ubongo wako una funza sio bure, kazana kuuza mkaa mkaa, hapakufai hapa
hahahaaaaaa!unapaniki nini dogo?si umeomba hata kazi ya stoo na mimi nimetoa ofa.
hahaha mbuyula weye umenipa aman ya moyo ghaflailizaliwa uingereza, ikaenda kuongelewa amerka, ikaja afrika ikaumwa balaa ikaenda kufia india
ubongo wako una funza sio bure, kazana kuuza mkaa mkaa, hapakufai hapa