username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 364
- 1,106
Nimesoma clinical medicine.
Nimemaliza mwaka huu, hivyo ninahitaji kupata sehemu ya kujitolea kupata kujifunza zaidi na kupata uzoefu.
Nimesoma chuo cha private, na changamoto kubwa wa hivi vyuo vya private ni kupata muda mchache wa kufanya mafunzo ya wodini maana chuo chetu hakina hospitali yake hivyo huwa tunategemea kipindi cha clinical rotations.
Umri wangu ni miaka 32.
Jinsia Me
Naishi ukonga moshi bar, hivyo nikipata hospitali/kituo cha afya au zahanati sehemu za karibu na maeneo haya nitashukuru sana.
Mawasiliano yangu ni haya 0758120076.