Natafuta sehemu ya kujitolea kufanya kazi

Acheni usenge. Ingekua dada yako ungefurahi? Watoto mmekua wengi humu. Kama huna means za kumsaidia unaupita uzi wa mtu na si kumletea adaha na ujinga mwingi.
 
Acheni usenge. Ingekua dada yako ungefurahi? Watoto mmekua wengi humu. Kama huna means za kumsaidia unaupita uzi wa mtu na si kumletea adaha na ujinga mwingi.
Mse.nge ni nani sasa? Njoo nikuoe wewe maana naona unawivu sana
 
kauzi kafupi lakini kamenifurahisha sana.

Back to topic.. Nina frnds zangu waliosomea hiyo kitu now wako makazini labda nikuconnect nao

So ukiwa ready hit my PM
 
Back
Top Bottom