Natafuta sehemu ya kujitolea kufanya kazi

Honestgirl

JF-Expert Member
Jun 9, 2018
210
126
Naitwa jovieth felix n mwanafunzi wa mwaka wa kwanza sasa npo likizo but nlimalza diploma mwaka jana sasa nahitaji sehemu ya kujitolea kufanya kama social worker ili kupata uzoefu kweny kipind hichi cha likizo nitashukuru
 
nina diploma ya social work Namaanisha ustawi wa jamii yan sitak kukaa tu ndio maana natafuta sehemu ya kufanya nipate uzoefu wa kazi
 
Naitwa jovieth felix n mwanafunzi wa mwaka wa kwanza sasa npo likizo but nlimalza diploma mwaka jana sasa nahitaji sehemu ya kujitolea kufanya kama social worker ili kupata uzoefu kweny kipind hichi cha likizo nitashukuru
Jovieth acha izo bwana tafuta elfu kumi pika ata keki apo tafuta package yenyekuvutia sambaza kwenye masuper market acha uvivu bana be great thinker

Kwan upo mkoa gani ?
 
Back
Top Bottom