Natafuta sehemu ya kujifunza ufugaji nyuki

uberimae fidei

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
2,789
Reaction score
4,459
umofia kwenu
natafuta wanapotoa darasa la ufugaji nyuki na kutengeneza mizinga yake.mikoa iwe morogoro.dar es salaam na pwani.popote ntafika ndani ya hiyo mikoa
 
Ntakupa contacts uwasiliane

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
umofia kwenu
natafuta wanapotoa darasa la ufugaji nyuki na kutengeneza mizinga yake.mikoa iwe morogoro.dar es salaam na pwani.popote ntafika ndani ya hiyo mikoa
Nazan cjachelewa sana mkuu..tunatoa elimu hiyo sisi kama wataalamu wa ufugaji nyuki tunapatikana kigamboni dar es salaam RAFIKI ASALI 0745 023 257 kwa mawasliano zaid
 
Back
Top Bottom