Natafuta sehemu ya kufanya kazi kwa kujitolea. Nimehitimu kozi ya Human Resource Managemt Mzumbe

arthurluy

Member
Nov 29, 2019
12
45
Waungwana me ni muhitimu wa chuo kikuu cha mzumbe natafuta sehemu ya kufanya kazi kwa kujitolea nimesoma HUMAN RESOURCE MANAGEMENT DEGREE.

JINSIA -ME.

MIAKA -24.
 

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,352
2,000
Good Luck young man. Tembelea ofisi mbalimbali omba kuonana na HR waliopo then waeleze nia Yako.

Mungu akutangulie. Just remember position hiyo inakuwaga na lawama sana and most of the people who take that position wanakuwaga na roho mbaya Sana.

Have the fear of God in your heart. Treat people humanly and do not exploit anyone in the name of giving them a job.

All the best.
 

King Rabbit

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
542
1,000
Wale vipele wa reception wanafanyaga ofisi kama za baba zao.

Ukifika pale unamsalimia,mwenzako hata habari hana.

Ukiomba kuonana na HR,anakuuliza una apointment naye....mwisho wa yote atakuomba uache CV zako mezani kwake atamfikishia yeye kwa muda wake.

Sijui na sina uhakika kama hata CV huwa zinawafikia walengwa(HR).

# Nyie vipele popote mlipo mtambue MUNGU ANAWAONA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom