Natafuta sehemu ya kufanya Internship

Natafuta sehemu ya kufanya Internship

Exformer

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
863
Reaction score
1,003
Habari wana JF,

Nina imani mungu amewabariki uzima na wale ambao afya zao si njema basi Mungu awaponye kwa uwezo wake.

Turudi hapa, mimi ni Mhitimu wa shahada ya uchumi wa maendeleo ya jamii. Kwa sasa najitafuta kupata uzoefu hivyo ninahitaji sehem ya kupata uzoefu.

Ni wazi maeneo baadhi ninaweza kushughulika nayo iwe kweny mashirika, NGOs na sekta binafsi.

Sina uzoefu ila maeneo haya ninaweza kuwepo
  • Social worker
  • Hospital-social welfare department
  • Halmashauri-Community Development
  • NGOS
  • PRIVATE SECTORS
N.k

0628849189

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom