Natafuta sehemu nijifunze Ufundi Simu

Natafuta sehemu nijifunze Ufundi Simu

omereo

Member
Joined
Dec 29, 2018
Posts
54
Reaction score
80
Hello wadau,

Mimi ni kijana umri miaka 40.natamani nijifunze kutengeneza simu hapo baadae nifungue ofisi yangu inshaalah!

Naomba mwenye kunipatia ruhusa kujua hilo kiundani idea ya sayansi ninayo wala usisite kunitafuta inbox.

Angalizo: najiamini nitaweza, najiheshimu pia

Kuhusu malipo wala usijali nitajitahidi tukishindwana hakuna ubaya.nipo dar.Asante
 
Vyuo vinefunguliwa nenda VETA kipawa mkuu

Typed Using KIDOLE
 
umri wa miaka 40 ndugu si kijana, wewe ni mzee::= usauri nenda mtaa wa Aggrey(Aggrey street k/koo):ukiwa upo serious nakupa namba ya simu nanj umtafute hapo akusaidie kwa haraka
 
umri wa miaka 40 ndugu si kijana, wewe ni mzee::= ushauri nenda mtaa wa Aggrey(Aggrey street k/koo):ukiwa upo serious nakupa namba ya simu nanj umtafute hapo akusaidie kwa haraka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom