Miss liquid
Member
- Apr 25, 2019
- 24
- 15
Acha kujifanya mjuaji ungeacha kama haikuhusu, bas unajikuta bonge la mjanja sepa kule,Jifunze kwanza kuandika sponsorship kisha urudi hapa na mwandiko unaoeleweka.
Wasomi wa nchi hii,sijui wana shida gani!!?!!
Kwa akili hizo tafuta chuo kikuu cha kata usome hiyo masters yako,nani atakubali kumfadhili msomi uchwara kama wewe!Acha kujifanya mjuaji ungeacha kama haikuhusu, bas unajikuta bonge la mjanja sepa kule,
Kwa akili hizo tafuta chuo kikuu cha kata usome hiyo masters yako,nani atakubali kumfadhili msomi uchwara kama wewe!
Zipo za nje ila inategemea na coz unayochukua kama upo science njoo PM kama art basi wala usihangaike kunitafuta mkuuHello, niliomba nafas ya kusoma masters katika chuo fulani apa Tanzania, nimebahatika kupata nafasi
Swali langu ni Je naweza kuomba sponsership kwenye shirika lolote au ni lazima kusubir zile zinazotangazwa na chuo husika??
Wasiwasi wangu ni je ukisubir alafu ukakosa?? Si nitakua nepoteza nafas ya kusoma mwaka ujao 2020 ?
Naombeni ushauri na maelekezo mengine kama yapo
Pia kwa anaefahau watu/mashirika yanayotoa sponserships hapa Tanzania /nje ya Tz .
Asanteni.
Nilitarajia atoe ushauri uliomba kwanzaAcha kujifanya mjuaji ungeacha kama haikuhusu, bas unajikuta bonge la mjanja sepa kule,
PM kunani? au mambo ya connectionZpo
Zipo za nje ila inategemea na coz unayochukua kama upo science njoo PM kama art basi wala usihangaike kunitafuta mkuu
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu ndani na nje ya nchi. Utajibiwa maswali yako yote na huduma za ziada kwa gharama ya Tsh 5000 tu. 0769 524 022.Hello, niliomba nafas ya kusoma masters katika chuo fulani apa Tanzania, nimebahatika kupata nafasi
Swali langu ni Je naweza kuomba sponsership kwenye shirika lolote au ni lazima kusubir zile zinazotangazwa na chuo husika??
Wasiwasi wangu ni je ukisubir alafu ukakosa?? Si nitakua nepoteza nafas ya kusoma mwaka ujao 2020 ?
Naombeni ushauri na maelekezo mengine kama yapo
Pia kwa anaefahau watu/mashirika yanayotoa sponserships hapa Tanzania /nje ya Tz .
Asanteni.
Kabisaa,Nilitarajia atoe ushauri uliomba kwanza
AsanteKaribu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu ndani na nje ya nchi. Utajibiwa maswali yako yote na huduma za ziada kwa gharama ya Tsh 5000 tu. 0769 524 022.
πππππβ·PM kunani? au mambo ya connection
Naomba na mimi connection mkuuπππππβ·