GeniousMbishii
Member
- Jun 22, 2014
- 42
- 7
Jaman mwenye scale(mzani) tufanye biashara
upo wapi na mizani ya ukubwa gani?
upo wapi na mizani ya ukubwa gani?
au we unazo vp na unapatikana wap?
ok poa,,,hizo za electronic zko vp Kilo ngap na bei gan
kilo 300..bei 480,000 nimejaribu mpigia mtu ananiambia hii ni ya mawe
kilo 300..bei 480,000 nimejaribu mpigia mtu ananiambia hii ni ya mawe
ok nmekusoma mkuu
ok ila hyo nikubwa sana mi nnahitaji isizd kilo 10 ndo ingenifaa dukan
nitakwenda na asante miss chagga
Jaman mwenye scale(mzani) tufanye biashara
Mie ninao. Ila jiwe kubwa kuliko yote ni 5kg.
Nnayo ya dili, micro balance.
bei gan ? Na unapatikana wap?
Niko Dar. Una 140,000?
poa. baadae. mzani uko home. mie niko town centre. utapata picha usiku au jioni.weka picha mkuu,,tufanye biashara