Kwa mwenye taarifa jamani ani pm, natafuta saana hela Mimi ILA siipati na hata ikipatikana Ni hela mbuzi Tu, sasa basi kwa mwenye taarifa yoyote kuhusu upatikanaji wake kwa wingi naomba ani pm.
Chukua hiyo hela mbuzi ne. nda katengeneze mkeka fuata odds kubwa uziue Bayern,Barca na PSG hapo utarajie mawili manyoya au kugeuka mcharo hao jamaa wakifa wote kumbuka ni combination risk inaitwa hiiii