Habari wadau, naomba mwenye mktaba wa kazi ( kazi kwa waajiliwa wa viwandani) naomba anisaidie kuupata. Nahitaji mkataba huo kwa ajili ya kuwasainisha wafanyakazi wangu sasa sijui huwa inaandaliwaje, so through huo mkataba utakao nitumia nami nitaweza Ku frame wa kwangu. mimi Nina bakery. Email: alaxtakes@gmail.com. asanteni.